Berichte und Kommentare
523
Anthropos 85.1990
ja kuangalia, waseme: “Asante sana, mtoto wetu
ametuletea wageni.”
Mjomha, amhaye ni mchungaji hodari, asi-
tishwe na wanyama wakali kama vile simha, nyoka,
chui. Awapeleke ng’ombe kwenye lambo au bwawa
la maji yasiyokauka; ng’omhe hao wanywe ma-
ji upande wa Mashariki ya bwawa. Nawe, babu,
uwaangalie watoto machungani, wasiumizane na
fimho zao.
Makali yote wakati wa mchana uyafukuzie
mhali; watu watembee saìama na wanyama wa
kali walale kama simha na nyoka; waende mhali
na watu, wakienda kukata kuni, kuchota maji au
kwenda safari yoyote; waende sa lama na warudi
salama.
Wanyama wote wakali mjifiche kwenye mapori
makubwa na mito mikuhwa; mkifanya kibure kwa
mwanadamu, mtauawa.
Kitonono nawe ukajifiche kwenye kichaka ki-
kuhwa kwa sababu humpulizi ng’ombe malishoni,
tumbo la ng’omhe hujaa na kufa.
Gutagho nawe nenda kwenye mti wa miiha,
maana una pumzi yako mbaya. Unapulizia vita
na kufa. Kutembea kwako kuwe kwa usìku, maa
na huwa tumelala. Ninyi, kitonono na gutagho na
nyoka tusikutane nanyi; malisho yangu na yenu
tuwe mhali nanyi. Sababu ninyi ni wachungu sa
na. Mungu atupe sisi malisho yetu nanyi malisho
yenu. Sababu sisi hatuna urafiki nanyi, maana mu
wachungu sana. Nawaagizeni hivyo.
Kirimia na Mungu nendeni, chukueni mimha.
Mutupe maji yenye neema mutakase mhegu zote
zenye wema na uhaya, ili mimi kiumhe nichague
mbegu nzuh yenye wema.
Miete mvua nyingì, amhayo itatosha dunia
mima, leteni maji yaliyo mapole, mweneze dunia
yote, yaani Urimi, usisahau sehemu hata moja.
Leteni maji ya bandi, watu waenee chakula, tusije
kugomhania ugali.
Kirimia na Mungu mnasikia hivyo, maana ka
ma hamtusikii, tunapowaagiza, tutahangaika na
njaa kila mwaka. Mvua nyingi ije, watoto wa
ng’omhe wafurahie manyunyu ya mvua. Baada ya
mvua kwìsha, jua liwake, limulike Kusini, Kas-
kazini, Mashariki, Magharibi kwa mwanga wako,
amhao si mkali.
Mulikeni maua ya mtama, mahindi, mahoga.
Kirimia na Mungu, miete mhegu zenu zote sisi
tutazichagua wenyewe; mhegu chungu ina mlaji
wake na mhegu muri zina walaji wake.
Ua lako la Mugwauro na Mudahasi lìone-
kane, tupaie mavuno mazuri ya mtama na mho-
ga yaliyokomaa; pia yawepo matango, yanayoliwa
na watoto. Yote yakomae, machungu na matamu.
Tukishindwa kula yaliyo machungu, tutayaweka
pemheni, kwani tumbako nalo huwa chungu, lakini
mgeni huomha na kupewa.
Kirimia nyinyi ni mfano wa mtama uliolundi-
kana pamoja, pia ni kama maboga madogo, yote
pamoja ni chakula chetu.
Menda ukamchukue ng’omhe mdogo, umnyo-
nyeshe ashibe, amenepe, awe na afya muri; nama-
lizia hapo.
Nyinyi nyote, Jua na Mungu Mwumha we
tu akina Mwezi, na Kirimia mnisikilize maomhi
yangu. Mimi si mjanja sana wa kuwaagiza ninyi,
lakini naornha maomhi yangu myasikilize. Asanteni
sana!
150 Jahre Hausaforschung
H. Ekkehard Wolff
Vor fast genau 150 Jahren erschien mit James
Frederick (Jacob Friedrich) Schöns “Grammati-
cal Sketch of the Flausa Fanguage” die vermut
lich erste quasi professionelle wissenschaftliche
Auseinandersetzung mit der Struktur des Hausa,
der neben dem Swahili wichtigsten afrikanischen
Verkehrssprache unseres südlichen Nachbarkonti
nents. 80 Jahre später verließ ein gewisser Frede
rick William Parsons die Universität Oxford, um
als junger britischer Kolonialbeamter in Nordnige
ria Dienst zu tun. Dieser zweite Frederick sollte,
nach Schön, Robinson, Bargery, Abraham u. a.
die britische Hausaistik zu einer weiteren Blüte
führen. Aus Anlaß des 80. Geburtstages von F. W.
Parsons liegt uns nun eine von Graham Furniss und
Philip J. Jaggar 1988 herausgegebene Festschrift
vor, die den Anspruch erheben könnte (und laut
Klappentext in der Tat auch recht unbritisch un
bescheiden erhebt), selbst ein „Meilenstein (land
mark)“ der Hausaforschung zu sein.
Diese in ihrer Form sehr ansprechende Fest
schrift für eine herausragende Persönlichkeit der
School of Oriental and African Studies der Univer
sität Fondon vereint 16 wissenschaftliche Artikel,
dazu eine äußerst willkommene Ergänzung der
Hausa-Bibliographie Baldis aus dem Jahre 1977,
zusammengestellt von Nicholas Awde, und einen
Beitrag zu (Hausa) Sprachanforderungen und -Prü
fungen im British Empire zwischen 1902 und 1962
aus der Feder A. H. M. Kirk-Greenes.
Wie bei derartigen Veröffentlichungen üblich.